Dawa za vidonda vya tumbo nimeshstumia sana,mpaka chumbani kwangu kumejaa maboksi ya madawa!Mpaka sasa nimeandikiwa kuwa nahudhuria clinic ya madawa hapo hospitali ya Rufaa mbeya,ila hakuna nafuu yoyote!Madaktari wenyewe wanabishana hasa kuhusu ugonjwa wangu hii ni baada ya vipimo vya BARIUM MEAL NA BARIUM ENEMA KUONYESHA HAKUNA TATIZO!!Kama siyo Vidonda vya Tumbo basi una digestive disorders.
DUUU POLE SANA MPENDWA ZAIDI HAPO MUOMBE SANA MUNGUDawa za vidonda vya tumbo nimeshstumia sana,mpaka chumbani kwangu kumejaa maboksi ya madawa!Mpaka sasa nimeandikiwa kuwa nahudhuria clinic ya madawa hapo hospitali ya Rufaa mbeya,ila hakuna nafuu yoyote!Madaktari wenyewe wanabishana hasa kuhusu ugonjwa wangu hii ni baada ya vipimo vya BARIUM MEAL NA BARIUM ENEMA KUONYESHA HAKUNA TATIZO!!
Polw sana Mkuu kwa kuumwa na hayo maradhi nione mimi nipate kukutibia.Tumbo linauma sana!Vitu vinanichoma kwenye kuta za tumbo utadhani nimemeza vitu mithili ya misumali.Nimeshafanyiwa vipimo vingi hadi nimefika rufaa mbeya wanadai ugonjwa hamna.Sasa nikiwa na njaa nguvu zinaisha na ninalegea mpaka naanguka!Nikila chakula tumbo linajaa,linakuwa kama puto.Msaada wenu wadau