Salaam kwenu wanajukwaa. Nimekua addicted na mchezo wa kubahatisha wa bonanza kiasi cha kuhatarisha uchumi wangu. Hii hutokana na kila ifikapo kuanzia saa 12:00 jioni sina cha kufanya kiasi cha kushawishika kujumuika wa Watu katika mchezo huu. Siwezi kukwepa kutokuwepo maeneo hayo maana mji ni mdogo. Msaada cha kufanya jamani