Msaada jamani: Kila nikifanya tendo la ndoa korodani moja huuma sana

Bwanamaya

Member
Joined
Mar 14, 2017
Posts
79
Reaction score
116
Shida yangu ni kila nikifanya tendo korodani moja ya kushoto inauma sana hasa baada ya kumaliza tendo yaani nikisha kojoa, hii hunipelekea mpaka sitamani tena kufanya tendo wakati mwingine naweza kaa hadi miezi 4 maana hata nikitamani kupiga mzigo nikikumbuka tu ile hali huwa naahirisha kabisa...naombeni msaada tafadhali tatizo langu ni nini?
 
Kwani ni lazima kufanya? Unaweza acha tu. Chagua pain or gain?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…