Msaada jamani kilimo cha vitunguu

Msaada jamani kilimo cha vitunguu

Bunda one

Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
27
Reaction score
3
Hivi mbegu nzuri za vitunguu ni zipi nitajie jina lake. Pia heka moja ya vitunguu hutoa gunia ngapi? Na kwa mkoa wa mara na mwanza gunia la vitunguu huuzwa kwa bei gani?
 
(1) kuna mbegu za kienyeji na zipo mbegu znazotoka nje onioun karoi (2) eka moja unaweza kupata hadi gunia 80 inategemea na upandaji wako (3) bei bado maana wengine tuko dar
 
Back
Top Bottom