YATIMA WA TCU
Member
- Aug 10, 2013
- 58
- 5
SUA washatoa majina kwa undergraduet wa 2013/2014 tatizo langu lipo hapa chuo kimechagua watu 48 katika program ya agricalture engeniarng na ilikuwa inaitaji watu 60 je naweza kwenda ofisi za tcu na kuomba kubadilishiwa na kupangwa pale?