YATIMA WA TCU Member Joined Aug 10, 2013 Posts 58 Reaction score 5 Aug 30, 2013 #1 SUA washatoa majina kwa undergraduet wa 2013/2014 tatizo langu lipo hapa chuo kimechagua watu 48 katika program ya agricalture engeniarng na ilikuwa inaitaji watu 60 je naweza kwenda ofisi za tcu na kuomba kubadilishiwa na kupangwa pale?
SUA washatoa majina kwa undergraduet wa 2013/2014 tatizo langu lipo hapa chuo kimechagua watu 48 katika program ya agricalture engeniarng na ilikuwa inaitaji watu 60 je naweza kwenda ofisi za tcu na kuomba kubadilishiwa na kupangwa pale?
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,930 Reaction score 2,565 Aug 30, 2013 #2 ....ngoja waje wana tcu, but mpaka wamefanya maamuzi hayo nadhani vigezo na masharti vilizingatiwa...
....ngoja waje wana tcu, but mpaka wamefanya maamuzi hayo nadhani vigezo na masharti vilizingatiwa...
ham ha JF-Expert Member Joined May 13, 2013 Posts 283 Reaction score 48 Aug 30, 2013 #3 Nafasi Haijajaa Kutoka Na Vigezo.kama Huna Vigezo Ni Bora Ucpoteze Mda Kuomba.
M Molembe JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 9,917 Reaction score 11,801 Aug 30, 2013 #4 Kwanini wewe wamekuchagua kozi gani? kama umemet minimum requirements jaribu kuandikia tcu barua ya kuomba kubadilishiwa hope utafanikiwa.
Kwanini wewe wamekuchagua kozi gani? kama umemet minimum requirements jaribu kuandikia tcu barua ya kuomba kubadilishiwa hope utafanikiwa.
YATIMA WA TCU Member Joined Aug 10, 2013 Posts 58 Reaction score 5 Aug 31, 2013 Thread starter #5 vigezo na mashariti ninavyo.kwahiyo naandika barua kuituma tcu
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 Aug 31, 2013 #6 kwan wamekuchagua wapi