Msaada jamani kuhusu abnornal hernia (ngiri ya tumbo)

ARGAN MARA

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
1,020
Reaction score
2,716
Habari ya weekendi wana jamvi.

Naombeni mnisaidie kuhusu tiba ya huu ugonjwa wa ngiri ya tumbo yani nakosa adi raha tumbo launguruma na miushuzi kibao kila dakika nashindwa adi ku perform activity zangu kwa ufasaha ofisini kila dakika toilet kutoa ushuzi
 
Kula sana mboga za majani hata ushuzi wake hautanuka sana. Pia kunywa maji ili usagaji wa chakula uwe smooth.
 
Bila shaka tatizo lako ni vidonda vya tumbo, nenda ukapime ukupata jibu badili mfumo wa chakula na tafuta tiba
 
Mkuu usijihisi unayo maradhi kumbe huna hayo maradhi unayo jihisi. Wakati kuna hospitali nenda ukapime uje hapa utuambie umeambiwa unayo maradhi gani? kisha tutakupa ushauri pamoja na dawa ipi ya kuweza kutumia ili uweze kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…