Msaada jamani kuhusu chuo cha ualimu Tabora

Basuzwa

Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Wana JF mimi ni muhitimu wa kidato cha nne.mwaka huu nilituma maombi wizarani ya ualimu ngazi ya cheti kwa bahati nzuri nimechaguliwa chuo cha ualimu Tabora. Sasa tatizo ni kwamba joining instruction ya chuo hiki iliyopo mtandaoni inaonyesha mafunzo ya ualimu ngazi ya stashahada na mimi niliomba ngazi ya cheti.sasa hili suala linanichanganya naombeni ufafanuzi kwa anayefahamu.Ninatanguliza shukrani AHSANTENI.
 
Nenda kachukue kupitia sanduku lako la barua ulilo2mia kuombea, kama ni la shule basi fika shulen, lakin inasemekana bado hazijafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…