Msaada jamani kuhusu focus vikoba

Mgumuink

Member
Joined
Jun 17, 2013
Posts
70
Reaction score
8
Wapendwa poleni na majukumu.
Hivi kweli focus vikoba inatoa mkopo online? Au ni njia ya kuwatapeli watanzania?
Nimepigiwa simu zaidi ya mara moja wakinisisitiza kuweka akiba yangu ya sh 1mil ili wanipe mkopo wa 10mil mpaka sasa nakosa cha kuwajibu msaaada wenu plz
 
Matapeli hao wameshaliza wengi sana kuwa makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…