D DOMA JF-Expert Member Joined Mar 17, 2011 Posts 944 Reaction score 366 Mar 29, 2012 #1 Nilikuwa naomba kujua mambo ambayo mara nyingi huitajika hasa unapotaka kujaza fomu za scholaship kwa kutumia online application kwa wanaotaka kusoma shahada ya awali na pia zip code huwa ina maanisha nini? Asanteni
Nilikuwa naomba kujua mambo ambayo mara nyingi huitajika hasa unapotaka kujaza fomu za scholaship kwa kutumia online application kwa wanaotaka kusoma shahada ya awali na pia zip code huwa ina maanisha nini? Asanteni