msaada jamani kuhusu laptop.

msaada jamani kuhusu laptop.

kambenga1

Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
41
Reaction score
0
wana jf naomba kujunzwa juu ya aina ya laptop nzuri kwa kuzingatia Ubora, uimara, aplications, charge storage, bei kulingana na thamani yake na vinginevyo! itanisaidia mimi na atakae kununua laptop.
 
nitafute kama hautojali! 0712 787161! nadeal na mambo hayo na nina ofic kariakoo..ahsante
 
Back
Top Bottom