wana jf naomba kujunzwa juu ya aina ya laptop nzuri kwa kuzingatia Ubora, uimara, aplications, charge storage, bei kulingana na thamani yake na vinginevyo! itanisaidia mimi na atakae kununua laptop.