Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Poa mkuu kazi kwakoBasi sio bb yangu .
umesahau? nimekuuluiza unakumbuka siku uliyonikwaruza mgongoni na kucha zako?ulimi wako nimeuona wapi mm
mambo my lovUnaguna nini tena babu?
kila mtu anakukwaruza mgongoni hivi unao wangpumesahau? nimekuuluiza unakumbuka siku uliyonikwaruza mgongoni na kucha zako?
Uyo anakimbizana na Babu yakeHahaa! Poa
Na wewe penda penda mmhh
nani mwingine?kila mtu anakukwaruza mgongoni hivi unao wangp
Bora umemuuliza nami nipate jibu.kila mtu anakukwaruza mgongoni hivi unao wangp
Na wamejaliwa nyuso kavu haswaUyo anakimbizana na Babu yake
mimi ni kama dr love pimbi unajua harakati zake...? yeye huwa hafanikiwi ,.. kwa hio hata nikikulata geto usiwe na woga wala niniUyo anakimbizana na Babu yake
......emy lakini unanikumbuka vema?Na wamejaliwa nyuso kavu haswa
Unanilipa sh ngapiAnaitwa numbisa nitongozee tafadhari
Nambie anaitwa nan
Basi tu. Maana hamna namna nyingine tena...Unaguna nini tena babu?
Naamini hunizungumzii mimi. Nikitema mate chini nadhani unajua kitakachokutokea...Uyo anakimbizana na Babu yake
Kazi ya bure mjini sikuhizi hamna kumuelekeza tu mtu sehemu pesaDuuuh nini si kasema nimtajie anisaidie kutongoza
Numbisa popote ulipo ravy van atakufa kwa pressure usije sema sikukwambia mwenzio halali ka moyo kake kamekudondokea ## natumai nimemaliza kazi yangi,#
KhaaaaNaamini hunizungumzii mimi. Nikitema mate chini nadhani unajua kitakachokutokea...