Hahhhahhmimi ni kama dr love pimbi unajua harakati zake...? yeye huwa hafanikiwi ,.. kwa hio hata nikikulata geto usiwe na woga wala nini
hahahhah kashajibu kama dr love pimbiBora umemuuliza nami nipate jibu.
Vp lakini kumekucha salama?
Na wamejaliwa nyuso kavu haswa
Km Mali za watu je,? Nani anataka kutoa ushahidi km Mali za watu je mi sipo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mbona unaongea huku unakimbia jaman
Akaaa! Hata sijakukumbuka......emy lakini unanikumbuka vema?
Basi nataka uwe unanikumbuka kila ukiniona... Kwa hio tufanyeje ?Akaaa! Hata sijakukumbuka
Hii hatari aiseehahahhah kashajibu kama dr love pimbi
Shunie hujambo mamahahahhah kashajibu kama dr love pimbi
Hakuna hatari.. Nicheki basi ndani tupange siku ya kupanda mpunga?Hii hatari aisee
Mambo sakayo.Shunie hujambo mama
Mmmhh! Unapenda kukumbukwa eeBasi nataka uwe unanikumbuka kila ukiniona... Kwa hio tufanyeje ?
Ushapata lunch au nikufuate uje kwangu
Upande na nani panda mi nitakuja kukusaidia kuvuna.Hakuna hatari.. Nicheki basi ndani tupange siku ya kupanda mpunga?
nakutaka weweUpande na nani panda mi nitakuja kukusaidia kuvuna.
Hahahaaaaanakutaka wewe
Najua na ww wanitakaHahahaaaaa
Ntataka wangapi mtu mmoja mie?Najua na ww wanitaka
Kwani mm unanitaka mara moja au mbili?Ntataka wangapi?
KwendraaaaKwani mm unanitaka mara moja au mbili?
Jamani my emyy nitaenda wapi na wakati upo kumoyooKwendraaaa
PoaMambo sakayo.
twende woteKwendraaaa