Chokochoko
JF-Expert Member
- Oct 15, 2011
- 438
- 184
jamani hiyo cream inaitwaje? Maana maumivu nimakali kwelíPole sn mami, nafikiri kuna cream za kupaka ili kuzilainisha. Ngoja waje wajuzi ila kama unachelewa ongea na dk ulikojifungulia huwa wanajua..
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
jamani hiyo cream inaitwaje? Maana maumivu nimakali kwelí
Mnyonyeshe mtoto mara kwa mara