Yasin Yahya
Member
- Jan 18, 2013
- 33
- 0
Eti kwa mfano m2 amefanya mtihani akapata IV 27,sasa akaamua kurudia mtihani kutafuta crdt ziliz0baki lakini baada ya kurudia mtihani akawa ameharibu vibaya yaani.
Je?m2 kam huyu anaweza ku2mia cheti chake cha awali labda katika kuapply chu0 au kile cheti cha awali hawezi ku2mia kwasababu amerudia mtihani
Je?m2 kam huyu anaweza ku2mia cheti chake cha awali labda katika kuapply chu0 au kile cheti cha awali hawezi ku2mia kwasababu amerudia mtihani