Msaada jamani kwa anae fahamu.

Yasin Yahya

Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
33
Reaction score
0
Eti kwa mfano m2 amefanya mtihani akapata IV 27,sasa akaamua kurudia mtihani kutafuta crdt ziliz0baki lakini baada ya kurudia mtihani akawa ameharibu vibaya yaani.
Je?m2 kam huyu anaweza ku2mia cheti chake cha awali labda katika kuapply chu0 au kile cheti cha awali hawezi ku2mia kwasababu amerudia mtihani
 
Mkuu haina shida kwani unaweza ukatumia tu cheti ya mwanzo bila wasiwasi kwani sheria zinaruhusu so kama unapply chuo ni vyema hata usiogope utatoka mtu wangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…