Wanajamii foroum nimekuwa nikiwafuatilia sana lkn sikuwahi kama mimi kupost hoja/ombi,kwa kweli mchango wenu ni mkubwa sana katika jamii,naomba mnisaidie mwenzenu nataka kujua bei za mashine ya kukamua alizeti zinauzwa wapi na ni shilingi ngapi kwa seti iliyokamilika?