Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu hali inayonipelekea kukosa raha kabisa mbaya zaid natokea kwenye familia maskin ambayo haiwez kunipeleka india sasa kwa yeyote anayefaham dawa naomba anitajie ili nijaribu kutumia yaan huwa unanibana sana hasa kwa kipindi ninachokuwa na mawazo au hasira! aksanten sana. Nawasilisha

Nilijaribu kwenda bugando pale
Nilijaribu kwenda bugando pale
Chukuwa referral huko Bugando uende Muhimbili, kuna kitengo kipya kabisa cha matatizo ya moyo ni kizuri sana, kuna mitambo ya kisasa na wataalam waliobobea kwa magonjwa ya moyo.
Ahsante Kikwete.
Nipe mnduku wako sasa niule.
tatizo ni ulivyomalizia tu, pale uposema ahsante chikwete ndio ulipoharibu.
Nimekuwa nikisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu hali inayonipelekea kukosa raha kabisa mbaya zaidi natokea kwenye familia maskini ambayo haiwezi kunipeleka India.
Sasa kwa yeyote anayefahamu dawa naomba anitajie ili nijaribu kutumia yaan huwa unanibana sana hasa kwa kipindi ninachokuwa na mawazo au hasira!
Asanten sana. Nawasilisha