N Nyeusi Member Joined Feb 13, 2012 Posts 13 Reaction score 0 Feb 22, 2012 #1 jamani ndugu zangu naomba mtu mwenye contact ya chuo cha ustawi wa jamii cha DSM anisaidie maana nimeangaika kwenye google bila mafanikio.nakama unajua qualification zao pamoja na muda wa maombi nijulishe.Asanteni.
jamani ndugu zangu naomba mtu mwenye contact ya chuo cha ustawi wa jamii cha DSM anisaidie maana nimeangaika kwenye google bila mafanikio.nakama unajua qualification zao pamoja na muda wa maombi nijulishe.Asanteni.