irumba1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 882
- 321
Nimejaribu kubadilisha baadhi ya programmes nilizochagua wakati nafanya application tcu zinagoma,yaani nilibadilisha pale kwenye "SELECTED PROGRAMME" zikabadilika na nikasevu changes lakini ukifungua kwenye "VIEW MY SELECTED STATUS" unakuta hazijabadilika na uki sing out na baadae uki sing in unakuta zimerudi kama mwanzoni.Tatizo ni nini?