Msaada jamani kwa mwenye ufahamu

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
321
Nimejaribu kubadilisha baadhi ya programmes nilizochagua wakati nafanya application tcu zinagoma,yaani nilibadilisha pale kwenye "SELECTED PROGRAMME" zikabadilika na nikasevu changes lakini ukifungua kwenye "VIEW MY SELECTED STATUS" unakuta hazijabadilika na uki sing out na baadae uki sing in unakuta zimerudi kama mwanzoni.Tatizo ni nini?
 
Hata mimi nilikuwa na tatizo km lako bt kuna jamaa humu ndan alinisaidia mpaka nikafanikiwa,NGOJA NIKUMBUKE ALIVYOSEMA AU NGOJA AJE
 
msaada jaman tarehe zinayoyoma
 

Nenda kwenye APPLICATION,then shuka chini click kwenye CLEAR MY APPLICATION,log out af ulog in tena,nenda kwenye APPLICATION na ujaze codes upya,weka tick zako mbili pale chini then CONFIRM APPLICATION.Ukifuata hatua hizo,tatizo lako litakwisha kabisa.
 
Nashukuru sana Thema nimefuata ushaur wako nimefanikiwa ngoja niwasikilizie tcu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…