msaada jamani LOAN BOARD

Kivule

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
639
Reaction score
662
Jamani leo nimelipia elfu 30 m pesa kwa ajili ya loan board lakini nikijaza transaction id kwenye OLAS wanadai ni invalid, msaada jaman nifanyaje????????
 
Jamani leo nimelipia elfu 30 m pesa kwa ajili ya loan board lakini nikijaza transaction id kwenye OLAS wanadai ni invalid, msaada jaman nifanyaje????????

mkuu mda ulishaisha dedline ilikuwa 30/06/2014
 
wameongeza mda ad 31 july
 
Huwa unatakiwa usubirie mpaka hao mpesa wakuingize kwenye system na huwa ni.masaa 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…