Msaada jamani.................mambo ya tcu.

Msaada jamani.................mambo ya tcu.

KG.KASELO

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
252
Reaction score
20
Jamani kuna rafiki yangu alijikuta amejaza course ambayo ipo open university,kimakosa.sasa anataka kubadilisha,je,iyo inawezekana kutumia muda huu,wanapofanya awa wa third round application?lakini kila akijalibu kuchange inakataa,msaada tafadhari.:kev:
 
Unauliza rangi ya mkaa...
inawezekana ndio.

mfano chuo katika course usika wana capacity kuchukuwa wanafunzi 200, na wakafanya hivyo, sasa utaweza ingiaje huko? je kama department ni tofauti?...
 
Jamani kuna rafiki yangu alijikuta amejaza course ambayo ipo open university,kimakosa.sasa anataka kubadilisha,je,iyo inawezekana kutumia muda huu,wanapofanya awa wa third round application?lakini kila akijalibu kuchange inakataa,msaada tafadhari.:kev:

Hebu kuwa muwazi,kachaguaje kimakosa?au ndo kackiliza ushauri wa watu nw,ndo kaona hakifai
.alipewa mda mwingi tu wa kuhakikisha machaguo yake..aende tu,au asubiri aanzeaanze akabadilishie chuoni.
..sema mkopo watamsumbua
.
 
Asanteni kwa ushauli mbalimbali mlionipa,pamoja sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.:kev:
 
Back
Top Bottom