aende akabadilishie chuoni...
unaweza kubadili course ukiwa chuoni?.....
Unauliza rangi ya mkaa...
inawezekana ndio.
Jamani kuna rafiki yangu alijikuta amejaza course ambayo ipo open university,kimakosa.sasa anataka kubadilisha,je,iyo inawezekana kutumia muda huu,wanapofanya awa wa third round application?lakini kila akijalibu kuchange inakataa,msaada tafadhari.:kev:
Inabd TCU wawape taarifa HESLB ili wafanye mean testing upya na kupangiwa mkopo mpyaUkibadilisha afu loan board inakuje sasa