umecheck kidole tumbo?
Hapo upo sawa kabisa kwa kuanzia, lakini pia inaweza kuwa tatizo lipo kwenye kibofu cha nyongo au njia zake(biliary tract) au hata figo(acute pyelonephritis) lakini hii inaambatana na homa na pengine mkojo wenye rangi ya pepsi. Sasa cha kufanya kama upo karibu na hospt. kubwa nenda wakakucheck ili kuwa na uhakika. Kama una diclofenac nyumbani hapo meza itulize maumivu wakati ukifanya mchakato wa kwenda hospt.

tizo1, umeona alivyokujibu mrimi? Anasema: ''lakini hii inaambatana na homa na pengine mkojo wenye rangi ya pepsi.'' , kwanini mkojo wenye rangi hiyo? Ni kwa sababu unasubiri kiu ndipo unywe maji.
mwili wa binadamu unapopungukiwa maji hutoa ishara (indicators), tumeziita ishara hizo kuwa ni magonjwa, hauumwi, una kiu, usiitibu kiu kwa madawa dr. Batmanghelidj.
kunywa glasi 1 ya maji (ml 250) kila baada ya masaa 3, halafu urudi kutujuza hali yako. Bonyeza hapa kujifunza zaidi kuhusu maji: http://maajabuyamaji2.artisteer.net/
kama tatizo ni kibofu cha nyongo dawa yake ipi au ufanye nini?sawa nashukuru.nitafanya hivyo.nitaleta ripoti.
kama tatizo ni kibofu cha nyongo dawa yake ipi au ufanye nini?Hapo upo sawa kabisa kwa kuanzia, lakini pia inaweza kuwa tatizo lipo kwenye kibofu cha nyongo au njia zake(biliary tract) au hata figo(acute pyelonephritis) lakini hii inaambatana na homa na pengine mkojo wenye rangi ya pepsi. Sasa cha kufanya kama upo karibu na hospt. kubwa nenda wakakucheck ili kuwa na uhakika. Kama una diclofenac nyumbani hapo meza itulize maumivu wakati ukifanya mchakato wa kwenda hospt.