ikigoma iwachu
Member
- Aug 23, 2013
- 71
- 10
dr's naombeni msaada kwa tatizo langu. Nasumbuliwa na ugonjwa ambao hata nashindwa kueleza! wiki ya tatu sasa nasumbuka kichwani upande wa kulia karibu na sikio maumivu nayapata sana nimeenda hospital kupima wanadai nna presha 147/91 na 78 sasa sijielewi umri huu na presha juu wapi na wapi. Dawa hazileti matumaini japo nameza kila siku panado ikiisha nguvu shida maumibu balaaa nifanye je?
Imepita Muda tangu nije na huu uzi. Kiukweli kidogo nichungulie kaburi kwa maumivu ya kichwaaa.Aksante mkuuu ngoja nizitafute dawa
Imepita Muda tangu nije na huu uzi. Kiukweli kidogo nichungulie kaburi kwa maumivu ya kichwaaa.Aksante mkuuu ngoja nizitafute dawa