Katoto kadhuri
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 759
- 327
Au NAHISI NIMEKUA CHIZIIpo siku utahitaji msaada kweli ukose wa kukusaidia. Tafadhali badilisha kichwa cha habari kisomeke hivi, "NIMECHANGANYIKIWA JAMANI"
Ukikua utaachaKilaa nikijiunga kifurushi cha nyota kinaisha nikibonyeza reli haiwezekani nimependa pesa tu.
Sasa jioni mvua zinanyesha nimemwambia maindi ni mengi sasa kinachomliza ni nini jamni? Sijapenda Mimi kuonesha nyeupe sababu tu kaipenda sasa ndio nimpe bure? Niko kwney kipindi hiki sasa nimemwelewa vile cha umbea ukiweka remote kifurushi kinaisha tu sasa kama inviable haimanishi
Ipo siku utahitaji msaada kweli ukose wa kukusaidia. Tafadhali badilisha kichwa cha habari kisomeke hivi, "NIMECHANGANYIKIWA JAMANI"
Ndo umeandika nini?
Naomba mnieleweshe jamaniAu NAHISI NIMEKUA CHIZI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani haka katoto kila siku kanaboronga..
Jf Unaweza pata uchizi kwa kweli uliosababishwa na nyuzi kama hiziAu NAHISI NIMEKUA CHIZI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jf Unaweza pata uchizi kwa kweli uliosababishwa na nyuzi kama hizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ipo siku utahitaji msaada kweli ukose wa kukusaidia. Tafadhali badilisha kichwa cha habari kisomeke hivi, "NIMECHANGANYIKIWA JAMANI"
kamehongwa MB za kuchezea laiti kangenunua kenyewe kasingeanza kuboronga hapaYani haka katoto kila siku kanaboronga..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kamehongwa MB za kuchezea laiti kangenunua kenyewe kasingeanza kuboronga hapa
Kama mimba imetoka usaidiwe nini sasa? Uchapwe ya nyingine?Kilaa nikijiunga kifurushi cha nyota kinaisha nikibonyeza reli haiwezekani nimependa pesa tu.
Sasa jioni mvua zinanyesha nimemwambia maindi ni mengi sasa kinachomliza ni nini jamni? Sijapenda Mimi kuonesha nyeupe sababu tu kaipenda sasa ndio nimpe bure? Niko kwney kipindi hiki sasa nimemwelewa vile cha umbea ukiweka remote kifurushi kinaisha tu sasa kama inviable haimanishi