Msaada jamani mitishamba ya kutibu kuku wa kienyeji

ufumawicha

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
504
Reaction score
209
Nimeanza kufuga kuku 15 jike 12 jogoo 3. Tatizo hapa Mpanda nilipo chanjo za kuku hazipatikani. Msaada kwa anayefahamu mitishamba ninayoweza kutumia kukinga na kutibu kuku zangu dhidi ya magonjwa, kwani nimebajeti kutumia sh 15,000 kuendeleza mfugo wangu.
 
Ni Mshubiri ( Aloe Vera) na Manjano Mbichi (Turmeric)
 
sawa mkuu lakini namna ya kutengeneza naomba unifafanulie.Pia manjano mbichi ni mmea gani nieleweshe mkuu,pia ni aloevera ipi hiyo?Maana kuna ile tamu na ile chungu!
 
Unachukuwa hayo majani ya Aloe Vera unayamenya ukisha hiyo pulp nyeupe unaisaga na blender au kinu unachanganya kila sehem moja kwa kumi 1:10 ya maji yao ya kunywa. (Philipines wanatumia sana hii)

Aloe vera mbali ya dawa inawapa kuku wa mayai kasi ya kutaga vyema na kuboresha quality ya mayai. Kuku wa nyama inajenga misuli na wanazidi kuwa wanono

Pia na hiyo Manjano (ni natural antibiotic) unafanya hivyo hivyo (Kerala India wanatumia hii).

Pia shambani kwako panda mbegu Mronge ukishamea ukafika urefu wa nusu mita vuna uwe unawalisha kuku majani yake. (Nchi nyingi za America Kusini wanatumia hii)

Ni tafiti zilofanywa kitaaluma. Na vyuo vikubwa duniani katika stashahada za Ufugaji wa Kuku na wanyama kama hao.

Pia panda mikunde au maharage na majani yanayotambaa yanaitwa "Jew of the forest"

Uwalishe kuku wanaotaga hiyo itawapatia Amino Acids Laisin na na Methonine amabazo ni muhimu katika quality ya mayai na pia ndio inasababisha rangi ya kiini cha yai kinakuwa golden yellow.

Natumai hiyo taarifa itakusaidia.
 
mkuu asante sana kwa maelezo mazuri.Tatizo bado ni aina ipi ya aloevera sababu hapa mpanda kuna aina kama tatu,moja ukitafuna ni tamu,nyingine chungu kiasi na nyingine ni kama mboga ya mlenda
 
Shukran kwa maelezo yako,hakika faida tumepata wengi!
 
ucjiziuke xana kutumia za kienyeji tu, kwa uhakika zaidi mix zote uwe na uhakika wa 99% kma c 100%.
 
Unachukuwa hayo majani ya Aloe Vera unayamenya ukisha hiyo pulp nyeupe unaisaga na blender au kinu unachanganya kila sehem moja kwa kumi 1:10 ya maji yao ya kunywa. (Philipines wanatumia sana hii)

Aloe vera mbali ya dawa inawapa kuku wa mayai kasi ya kutaga vyema na kuboresha quality ya mayai. Kuku wa nyama inajenga misuli na wanazidi kuwa wanono

Pia na hiyo Manjano (ni natural antibiotic) unafanya hivyo hivyo (Kerala India wanatumia hii).

Pia shambani kwako panda mbegu Mronge ukishamea ukafika urefu wa nusu mita vuna uwe unawalisha kuku majani yake. (Nchi nyingi za America Kusini wanatumia hii)

Ni tafiti zilofanywa kitaaluma. Na vyuo vikubwa duniani katika stashahada za Ufugaji wa Kuku na wanyama kama hao.

Pia panda mikunde au maharage na majani yanayotambaa yanaitwa "Jew of the forest"

Uwalishe kuku wanaotaga hiyo itawapatia Amino Acids Laisin na na Methonine amabazo ni muhimu katika quality ya mayai na pia ndio inasababisha rangi ya kiini cha yai kinakuwa golden yellow.

Natumai hiyo taarifa itakusaidia.

Taarifa nzuri sana hii mkuu, umetusaidia sana

Mungu akubariki na kukufanikisha katika ufanyayo
 
sawa mkuu lakini namna ya kutengeneza naomba unifafanulie.Pia manjano mbichi ni mmea gani nieleweshe mkuu,pia ni aloevera ipi hiyo?Maana kuna ile tamu na ile chungu!
Manjano mbich ni bizari au binzari ya njano mkuu..

Ni kiungo fulani wanamama hupendelea kuweka kwenye mboga ili kukoleza rangi ya mchuzi na kuongeza ladha
 
mkuu asante sana kwa maelezo mazuri.Tatizo bado ni aina ipi ya aloevera sababu hapa mpanda kuna aina kama tatu,moja ukitafuna ni tamu,nyingine chungu kiasi na nyingine ni kama mboga ya mlenda

Aloevera yoyote inafaa lakini ukipata ile tamu ni bota zaidi.

Manjano mbichi ni miongoni mwa rhyzomes ni bizari ya njano.
 
Kwani wana ugonjwa gani? Tafuta humu mbinu kibao zimeshaelezwa
 
Immunostimulatory and protective effects of Aloe vera against coccidiosis in industrial broiler chickens.

AuthorsAkhtar M, et al. Show all Journal
Vet Parasitol. 2012 May 25;186(3-4):170-7. doi: 10.1016/j.vetpar.2011.11.059. Epub 2011 Nov 25.

Affiliation
Abstract
This paper reports the immunostimulatory and protective effects of Aloe vera extracts (aqueous and ethanolic) against coccidiosis in industrial broiler chickens. The study was divided into two experiments. Experiment-I was conducted for the evaluation of immunostimulatory activity of A. vera and experiment-II demonstrated the protective efficacy of A. vera extracts against coccidiosis in chickens. Results of the experiment-I revealed significantly higher (p<0.05) lymphoproliferative responses in chickens administered with ethanolic extract of A. vera as compared to those administered with aqueous extract and control group. Microplate haemagglutination assay for humoral response on day 7th and 14th post primary and secondary injections of sheep red blood cells (SRBCs) revealed significantly higher (p<0.05) anti SRBC antibody (total Igs, IgG and IgM) titers in chickens of experimental groups as compared to the control group. None of the extracts, however, demonstrated significant effects on the development of lymphoid organs. Results of experiment-II revealed maximum protection (60%) in chickens administered with aqueous Aloe extract as compared to the ethanolic extract administered chickens (45%). Mean oocysts per gram of droppings in the control group was significantly higher (p<0.05) as compared to the chickens in both the experimental groups. Chickens administered with aqueous Aloe extract showed a minimal mean lesion score (2.3) followed by those administered with ethanolic Aloe extract (2.6) and control chickens (3.05) for caeca, and a similar pattern was observed for intestinal lesion scoring. Further, significantly higher weight gains and antibody titers (p<0.05) were observed in chickens administered with A. vera extracts as compared to those in the control group. It was concluded that A. vera may be a potential and valuable candidate to stimulate the immune responses and can be used successfully as an immunotherapeutic agent against coccidiosis in industrial broiler chickens.

KIFUPI ALOE VERA INATIBU COCCIDIOSIS
 
Mkuu Averoes asante sana.......ni juzi tu nilikuwa naongea na mama mkwe wangu na akanieleza jinsi kuku wake walivyokufa.....the next day nakutana hizi message zako......nitawasiliana naye ili naye aweze kujaribu...na nitatoa majibu hapa hapa....juu ya matokeo ya ushauri wako......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom