Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Naomba msaada jamani mke wangu ana mimba ya miezi miwili na wiki moja ambayo ndiyo mara ya kwanza kushika mimba lkn leo ameona dalili ya hedhi kutoka baada chupi yake kuonesha ina damu kidogo lkn damu hiyo haijaendelea tena na wala hasikii maumivu yoyote katika tumbo lake hii ni dalili ya nini jamani?
Mimba imetungwa nje ya mfuko wa kizazi. Hii inatokana na mwanamke kuwa hodari wa kuchoropoa sana mimbaNaomba msaada jamani mke wangu ana mimba ya miezi miwili na wiki moja ambayo ndiyo mara ya kwanza kushika mimba lkn leo ameona dalili ya hedhi kutoka baada chupi yake kuonesha ina damu kidogo lkn damu hiyo haijaendelea tena na wala hasikii maumivu yoyote katika tumbo lake hii ni dalili ya nini jamani?
Bila shaka huyu mtoto sasa huvi yupo darasa la pili na ana mdogo ake wakucheza nae!!Napenda kuwapa matokeo ya ushauri wenu: leo nimempeleka mke wangu hospital kama mlivyonishauri amechekiwa kwa Ultrasound na imegundulika mimba ina miezi mitatu na wiki moja na si miezi 2 kama nilivyosema awali pia mtoto anaendelea vizuri hana tatizo lolote.
Nawashakuru sana wanaJF Godbless u ol.