King Menerick ii
Member
- May 19, 2020
- 24
- 31
Nawasalimu sana mim ni kijana mwenyeji wa mikoa ya kanda ya ziwa nlizaliwa miaka ya 90's baba yangu alikuwa ni mfanyakazi wa idara ya maji miaka hiyo ila tulivoambiwa na mama yetu kuwa aliachaga kazi yey mwenyew baada ya kuacha kazi alipewa hera yake akatoa nusu akaja dar akanunua kiwanja na kujenga temporally house then akaelekea Tanga akadai anaenda kununua mgodi na kuchimba madini
Alikaa huko akapotea baada ya muda ndugu yake alimfata huko akampata kachakaa balaa anadai pesa yote katapeliwa na matapeli baada ya hapo alirejea mjini sis na mama yetu tukaelekea kijijini tukamwacha mjini tulipofika huko tukaanza darasa la kwanza hadi la saba tukafahuru kidato cha kwanza tukasoma hadi form four nikapata iv31 mwenzangu iv30 baadae tukaja dar tukajiunga na centre ya kurudia mitihani tukampata mfadhili akasema rudieni mtafute hizo C3 Mipata nawapeleka kidato cha tano nikakomaa nikafanya mtihani nikaambulia C2 yaan iv point 27 yule mfadhili akasema rudia tena nliporudia nikapata C3 kwa mkupuo akaniambia kachukue form kidato cha tano jitegemee mgulani au mbezi beach high nlipochukua baada ya muda akaniita na kuniambia sitoweza kukulipia hada tena kazini kwetu kampuni imeuzwa sina kazi tena
Iliniuma sana nikaachana na mambo ya shule nikawa natafuta vibarua nikaenda hadi kwa wachina unafanya kazi daily jioni unalipwa 2500 baada ya hapo mambo yakawa magumu nikaamua kurudi kijijini nikawa naendelea na kilimo mala nikapata mfadhili akasema nikachukue form chuo cha ualimu nikaenda nikachukua baada ya muda akaniambia atoweza kunilipia chuo maana mambo yameenda vibaya
Nkakata tamaa kabisa nkakaa kijijini muda mlefu mwisho nkaamua nitafute nauli nije mjini nitafute kibarua hera ntakayopata nijiunge na chuo cha ufundi nipate ujuz ata wa mashine
Nikaja dar nikazunguk sana sipati kibarua nikapata hadi kazi za kutembeza vyombo nikaja nikapata kiwamda flani wakaniambia nitoe 40,000 wanipe kazi nikatoa 20 nikaanza kazi nikafanya kazi kwa muda wa miezi 18 tukilipwa4000 per day nikawa naweka vihera kwenye cm najichanga.
Baadae nikafanya mtihani wa kujiunga na chuo cha ufundi chang'ombe bahati nzuri jina langu likapata nafasi nmesoma miaka miwili fani za mitambo namshukuru Mungu nmemaliza mwaka jana ila bado sijafanikiwa kipata kibarua naomba mwenye connection na ma Hr anisaidie
Nina weza kuoperate mashine
Kufanya maintanence
Kuchonga
Kuchomelea
Ntashukuru sana jamani mambo magumu