DVJ
Member
- Mar 23, 2018
- 15
- 11
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 29 nilikuwa naomba kueleweshwa katika hili mnamo tareh 13 nilipatwa na tatizo ila katika tatizo nilikuwa kazin na yule alikuwa mteja mie sikuingia kazini maana nilikuwa najisikia vibaya nilijibushana na mteja nikimwambia mie leo sipo kazin nimekuja kula ili nirud kazin.
Alinitukana sana alikuwa kalewa nikanyamaza nikaketi pembeni na kumwacha aendelee kunitukana ila alipotulia nilimfuta kistarabu nikamwambia sipo kazin lakin wakat tunaendelea alikuwa na wapambe wake akasimama na kunipiga ngumi ya pua na damu kuvuja sana akakimbia wakat bado natahamak walikuja wafanyakaz wenzangu kushangaa nikatolewa pemben akawa amerud tena tukaamua tumfate ili tuweze kumkamata kumpeleka kituoni ila wakat anakimbia mbele alikuepo yeye sisi nyuma watu wawili alianguka vibaya akavunjika mguu tukamchukua ili tumpelek kituoni.
Tulijua analia kutudanganya kumbe kweli alikuwa kavunjika sie hatujui rafiki zake wakatusii sana tusimpeleke ila tumuache watarejea kesho ake tuyamalize ila wakanambia nikariport baada ya kufika kituon nikaelezea nikaambiwa nirud asubuhi asubuhi mie bado sijaamka maana nilikuwa naumwa mida ya saa 5 asubuhi nakamatwa kwamba nilivunja mtu mguu na alipoteza simu na kiasi cha milion mbili, nikatahamaki sana ila nikajikaza nikaenda nikasikiliza wakanifungulia mashtaka kulingana nilikuwa naumwa sana nikapelekwa hospital nikapewa dawa.
Nilikalishwa kituo kidogo siku nne baada ya hapo nikapelekwa sentro jumla nilikaa siku 10 na nikaomba meza ya maliziano mie na mwenzangu tukazaminiwa na boss wetu tukaenda meza ya maridhiano mjeruhiwa akaomba milion mbili na laki 5 tukakubali sasa tukalipa laki 5 ikabaki million mbili sasa inamaana mie na mwenzangu tutanatakiwa kulipa ndan ya miez 3 na tuliandikishana kwa mtendaji.
Shida inakuja kwa boss wangu anataka nifanye kazi kama mbwa no kupumzika na ananilipa kwa mwez laki mbili sasa nachoka sana ananiambia ataenda kufuta adhamin wetu baada ya kusikia nataka niache kazi nikafanye sehem nyingine je?
Inawezekana wakat sie na yule tulishaandikishana mezani tayari na sahihi kila kitu na mihur na muda wakulipa haujisha hata wiki mbili na ni miezi mitatu naomba msaada nko njia panda sana nashinda nawaza