Msaada: Jamani mwenzenu sioni vizuri,jicho la upande wa kulia

Mzee Lupa

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
59
Reaction score
8
Imepita kama wiki moja jicho langu linaona ukungu tu...sioni vizuri...
naombeni msaada kwa mtu anayejua tiba au dawa yoyote ile...au ushauri
 
Imepita kama wiki moja jicho langu linaona ukungu tu...sioni vizuri...
naombeni msaada kwa mtu anayejua tiba au dawa yoyote ile...au ushauri
Unaishi wapi? una bima ya afya? visit CCBRT utaenjoy huduma zao na utapona kabisa.
tafuta uzi ulianzishwa na kichwa ngumu una husu mtoto wa jicho kuna miushauri ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…