1000 words
Senior Member
- Dec 29, 2012
- 169
- 32
habari zenu...samahani nina rafiki yangu amesoma certificate then diploma na sasa hivi angetakiwa awe anaingia degree tatizo ni matokeo yao ya chuo alichokuwa anasoma ya diploma yamechelewa kutoka ndo yametoa juzi tu na alikuwa anataka kuunganisha degree lakini hajui aombeje chuo sababu TCU hawaombi tena sasa hajui afaanyaje msaada jamani kama kuna njia nyingine ili aweze kuendelea degree sasa hivi na si kusubiri mwakani tena.... naombeni ushauri wenu na msaada wenu