1000 words
Senior Member
- Dec 29, 2012
- 169
- 32
habari zenu...samahani nina rafiki yangu amesoma certificate then diploma na sasa hivi angetakiwa awe anaingia degree tatizo ni matokeo yao ya chuo alichokuwa anasoma ya diploma yamechelewa kutoka ndo yametoa juzi tu na alikuwa anataka kuunganisha degree lakini hajui aombeje chuo sababu TCU hawaombi tena sasa hajui afaanyaje msaada jamani kama kuna njia nyingine ili aweze kuendelea degree sasa hivi na si kusubiri mwakani tena.... naombeni ushauri wenu na msaada wenu
mkuu am assuming huyo jamaa yako alifeli 4m4 thats why he went for certificate then laiter diploma....sasa mwambie asijisumbue kwenda degree coz its imposible without three passes from his 4m4 results ata kama ana diploma...aka rudie kwanza mtihani wa 4m4 akifaulu ndo atumie cheti cha diploma aingie degree....au labda kama utaratibu umebadilika sikuhizi
aha,aombe digrii katika hicho chuo,kama kuna uwezekano atapewa,katika chuo hicho alichosoma