Nasema hivi kwa kuwa nimekatwa karibu miezi tisa bila mkataba nao shirika la bima, sasa nataka kufungua kesi mahakamani, kisheria natakiwa nimshitaki branch manager wa mkoani kwangu aliyeprocess makato hayo au nimshitaki mtendaji mkuu wa bima? naomba msaada wenu mnaojua sheria.