Msaada jamani: Nani nimshitaki kati ya branch manager wa bima au mkurugenzi mkuu wa bima?

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
Nasema hivi kwa kuwa nimekatwa karibu miezi tisa bila mkataba nao shirika la bima, sasa nataka kufungua kesi mahakamani, kisheria natakiwa nimshitaki branch manager wa mkoani kwangu aliyeprocess makato hayo au nimshitaki mtendaji mkuu wa bima? naomba msaada wenu mnaojua sheria.
 
Aliyekata sio mk
Aliyekata
Aliyekata sio mkurugenzi wala mkuu ila ni shirika la bima, hivyo liandikie demand letter ukieleza nia ya kuwaishtaki kama hawata kulipa hela unayotaka kwa kipindi cha muda fulani, then wakikiuka matakwa yako unawafungulia kesi moja kwa moja mahamakamani
 
Unatakiwa ulishitaki shirika la bima.. Ukimshitaki mtu umeliwa.. Wafanyakazi wa kampuni wanalindwa na kitu kinaitwa veil of incorporation na mwenye uwezo wa kulift hiyo veil ni mahakama pekee...
 
Mkuu nakushauri udemand pesa nyingi ili hata mahakama ikipunguza ubakie na cha juu kidogo.
 
Unatakiwa ulishitaki shirika la bima.. Ukimshitaki mtu umeliwa.. Wafanyakazi wa kampuni wanalindwa na kitu kinaitwa veil of incorporation na mwenye uwezo wa kulift hiyo veil ni mahakama pekee...
 
Mkuu nakuomba uwasiliane na mwenye namba hii 0753666525, ili aweze kutatua tatizo lako kwa haraka.
 
Mshitak huyo. Branch manager wako au kwa kifup mshitak mkubwa wako wa kaz hapo unafanyia kaz na cyo Mkurugenz ambaye yupo mbali kwa sbabu kweny kesi kuna territory jurisdiction shitak mtu mgogoro ulipo tokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…