Msaada jamani natatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

Msaada jamani natatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

rejea post za kitambo zilizoelezea hilo suala kaka mkubwa
 
Natumia blackbarry sijajua wapi pakwenda ili nipate post za nyuma

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
NURDIN.HAMIS nenda hata kagoogle ktk results utapata hata au google itakuopeleka hadi jf
 
Last edited by a moderator:
NURDIN.HAMIS nenda hata kagoogle ktk results utapata hata au google itakupeleka hadi jf
 
Last edited by a moderator:
Lishe ni jambo muhimu sana katika afya nzuri na katika upande wa hilo tatizo unalozungumzia inazingatiwa sana kuzingatia vyakula visivyokobolewa na pia kupata mlo kamili. Kwa bahati ambayo siyo nzuri wengi wa wanaoishi mijini kutokana na pilika pilika nyingi za mjini hukosa muda wa kula chakula kilichoandaliwa kwa kuzingatia vyakula asilia na kuishia mara nyingi kula vyakula vya viwandani. Pia vyakula tunavyokula vinakuwa vimepoteza vile virutubisho muhimu vinavyohitajika kutokana na uharibifu wa mazingira pia matumizi ya mbolea na madawa ya viwandani katika kilimo huchangia. Hapa kuna lishe nzuri sana iliyoandaliwa kiasilia na kuthibitishwa kutumiaka duniani kote sababu haina madhara na ina mafanikio mazuri sana. Kwa Tanzania pia imethibishwa na mamlaka ya chakula na dawa. Fuatilia maelezo yake hapo chini:

MAGILIM
Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

REVIVE

Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.

KAZI YA REVIVE

  • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
  • Kutibu impotence(mahanisi)
  • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
  • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
  • Kutibu maumivu ya kiuno
  • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
  • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
  • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa


CA + FE + ZI PLUS

  • CA – Madini ya Chokaa
  • FE – Madini ya Chuma
  • ZI – Madini ya Zinki

FAIDA ZA MADINI YA CHOKAA

  • 5% ni uzito wa mwili wa binadamu na ni 2% ya uzito wa binadamu ni madini ya chokaa.
  • Madini ya chokaa yanaimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Madini haya yanasaidia utendaji wa kazi mwilini
  • Madini ckokaa yanaimarisha mishipa ya hisia na ubongo
  • Madini chokaa yanasaidia kugandisha damu mtu anapopata majeraha

FAIDA ZA MADINI CHUMA

  • Hutumika kutengeneza damu hasa Red blood cells ambazo husafirisha oxygen
  • Huimarisha mfumo wa mishipa ya hisia mwilini
  • Huongeza uwezo wa kufikiria na nguvu ya ubongo kwa binadamu
  • Huongeza nguvu mwilini

FAIDA ZA MADINI YA ZINKI

  • Inaimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume
  • Inaimarisha milango ya fahamu
  • Kutibu vidonda vya ndani na nje wa binadamu
  • Inatunza ngozi na kulinda ngozi na nywele
  • Inaondoa matatizo ya macho.


Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294/0713889162 au kuniandikia kupitia email ishealthy@hotmail.com

MAGILIM ni 62500/-, REVIVE ni 60500/-na CA+FE+ZI Plus ni 51000/-
 

Attachments

  • MAGILIM.jpg
    MAGILIM.jpg
    15.2 KB · Views: 45
  • REVIVE.jpg
    REVIVE.jpg
    13.9 KB · Views: 49
  • CA+FE+ZI Plus.jpg
    CA+FE+ZI Plus.jpg
    16.2 KB · Views: 42
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Join Date : 9th March 2013
Posts : 8
Rep Power : 310
Likes Received1
Likes Given2, si kosa lako, peruz nyuzi zilizopita, wadau wamedadavua sana uko.
 
Back
Top Bottom