msaada jamani naumwa na mishipa na ganzi ya mikono

msaada jamani naumwa na mishipa na ganzi ya mikono

djamel

Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
7
Reaction score
1
naombeni msaada wakuu mimi ni mwanamke wiki sasa nasumbumbuliwa mishipa kuuma na mkono unaganzi na maumivu yamiguu mpaka chini ya nyao kwa anaefahamu naombeni msaada
 
naombeni msaada wakuu mimi ni mwanamke wiki sasa nasumbumbuliwa mishipa kuuma na mkono unaganzi na maumivu yamiguu mpaka chini ya nyao kwa anaefahamu naombeni msaada

Fanya mazoezi tu!

15-Minute Arm Workout | Women's Health Magazine

upper-arm-exercises-to-tone-and-shape-your-arms-from-aol-body-best-1203x473.jpg

dumbbell-jump.jpg

wish u all ze best!
 
umri miaka 32 uzito sina uhakika sasabu cjapima cku nyingi
 
Back
Top Bottom