Mkuu usiwe kam sio msomi... Na huyo dada yako huenda hajui anachofanya chuoni au hata chuo kapata na kufika hapo kwa magumashi au kudesa... Research si swala la kuandika na kumaliza chuo... Kwa mtu anaependa kusoma na anae jua nini maana ya elimu ya juu anapaswa kufanya research kweny topic/course ambayo anahisi ana future nayo, au juu current problem kwa wakati husika. Kwa mfano kama anaplan ya kufanya masters ya commercial law afanye rearch juu ya hiyo kitu, elimu ya juu ni all about proffesionalism not certificates.