Msaada jamani nimekwama

Msaada jamani nimekwama

ALWATAN KIZIGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
539
Reaction score
644
Leo nimetoa pesa NMB ATM mashine imehesabu lakini haikutoa pesa na risiti imeonesha pesa zimetoka nimeenda kwa customer care wao akaniambia watanirudishia lakuni hadi leo haijsrudi hiyo pesa nataka nikawashtaki nifuate procedures gani jamani nisaidieni plz.
 
Mbona unakwenda mbali sana wakati naona hili jambo bado linaweza kutatuliwa bila kwenda court! Nenda kamuone manager wa tawi husika kwanza!
 
Back
Top Bottom