Kama wameshakupa onyo ndiyo adhabu umeshapewa, sasa wanahitaji maelezo gani tena.
Anyway, if you got on absent on consecutive 5 days it means you absconded yourself.
Kinachoonekana ni kwamba wewe mwenyewe umejikanganya sana kwenye hii thread.
Haiwezekani upewe onyo then unaambiwa utoe maelezo.
Ninavyojua ni kwamba unatakiwa utoe maelezo ya kosa lako, the management ikiridhika wana determine adhabu unayotakiwa kupewa.
Serikali gani unafanya kazi mpaka Jumamosi na Jumapili. Ni serikali hii ya Tanzania au? Ndio nakusikia wewe.
pia ww ni mzembe, kama walikuja siku hizo ww hukuwa na taarifa? idara zote kabla hawajapita lazma watoe taarifa ili pia kumbukumbu za wafanyakazi wasiokuwepo kwa sabab mbalmbal ziwekwe vizuri....sasa wwumeondoka na unajua wanakuja?nilipewa barua ya kujieleza, nikajieleza kisha wakanipa onyo. sikua kazini siku 3. yaan jmosi, j2 na j3. ambazo ndio siku ya zoezi la uhakiki