ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
duh! Mimi huwapa chanjo lakini kienyeji pure shambani mlinzi amekataa nisiwape anawatwangia aloe vera mara kwa mara anawapa kwenye maji yao. Dawa zingine majani ya mlonge wanakula na maji yake kuchemshwa na kunywewa. Mipapai mbegu hutiba macho yenye uvimbe usio ndui. Mafuta alizeti hupakwa uvimbe wa ndui. Kwenye uzi zijue mbinu zangu.... Wa Kubota niliweka pdf document inaelezea hizi dawa ufungue. Pia juzi kuna mtu kaelezea aloe vera na manjano. Karibu mkuu.mtafute Mama Joe atakusaidia kwa hilo!
wana jf niokoeni mwenzenu,niko mpanda ambako chanjo za kuku hazipatikani sana.Nishaurini njia rahisi za kienyeji za kulea vifaranga kwani huo ni mtihani ambao umenishinda nami nataka kuwa na kuku hadi 1000 kwani kwa sasa nina jogoo 3 na jike 12.TATIZO KULEA VIFARANGA HADI VIKUE NDIYO MTIHANI HATA INGAWA NINA BANDA