Msaada jamani please mwenzenu nisaidien wana jf

Harooney

Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
37
Reaction score
2
Jaman mm nimemaliza kidato cha 6,na nikaapply then tcu,wakaniambia niapply second round,lakn course zilizo ckuzitaka na mm nataka kuchukua mambo ya afya,na nimesoma CBG na point 12, baada ya hapo ckuapply,najua ntakosa nafas.sasa mnisaidie ntapawapi chuo hata nikasome diploma ya nesing au chuo cha ualimu.nisaidien jamani
 
dah, pole bhana, ungejaza hyo 2nd round then ungepata halafu j3 ungekua unafanya transfer kuja kozi za afya.
 
hyo KAM iko wap kaka na nikiapply ntaenda mwez wa ngap kusoma?
 
Apply kupitia nacte kuna nafasi zimeongezwa za vyuo vya afya vya serikali kwa ngazi ya diploma ila physics lazima
 
sasa kama mm wa CBG, cjui itakuwaje, vp mfano nikia apply saiv kupitia nacte vp ntaenda kusoma mwaka huu?
 
Nenda Ofisi za TCU waeleze,kama kuna nafac utaambiwa then sikiliza ushauri wao
 
 
Acha kupoteza muda wa bure kwa kusoma diploma .cha msingi umefanya makosa kutokufanya second round.Kama Vipi Fanya Application Mwakani .Unapofanya Application Chagua Vyuo Vizuri Pia Chagua Na Vyuo Vya Kawaida .Usichagua Vyuo Vizuri Tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…