Inaelekea mumewe ni mtu wa totoz so akiwa ameathirika anaondoa ule uwezekano wa mumewa kumla!
tahadhari: kama mumeo atasema potelea mbali akapiga kavukavu na ww kwishney " be eyez""
amesema anataka cyo kumfuata.....da.Nakushauri uende Katika Mahospitali makubwa kama Muhimbili,Ocean Road,Amana,Agakhan n.k
kazi gani embu semakuna kazi muhimu sana nataka aifanye nyumbani kwangu,kwa mganga sijawahi hata kufikriia kwenda kwa hiyo sijaagizwa nae