Msaada jamani: Shopping Amazon

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,204
Reaction score
5,710
labda sijajua vizuri, kila nikipata kitu kizuri na ku add kwenye curt naambiwa the item does not ship to your destination, sasa hiz bidhaa zao zinakuwa shipped wapi kama huku kwetu haziji au kuna sehemu nakosea?.

Pili kwa wale mnaofamu kuhusu kodi, kwa mf. LED tv 32" kodi ntalipia sh. ngap? nikinunua nje, na je haina usumbufu?

Tatu, nahtaji na mengineyo yatakayonipa mwanga kuhusu buying online nisaidieni, ni mara ya kwanza nataka kujaribu hii kitu, pia apart from amazon na e bay ambao pia nimekutana na kadhia kama hii, je kuna web nyingine nzuri for shopping?

lengo langu nikununua flat screen tv na electronics nyingine huko nje naona ka ni cheap.

MSAADA KWA AJUAYE.
 
Amazon na Ebay, huwa hawasafirishi kuja Tanzania. Ni bora uumtumie mtu mwenye address ya USA.

Kama umekaa muda zaidi ya miezi 10 nje ya nchi basi kisheria unaruhusiwa kuingiza household items moja moja kama TV, radio nk bila kulipia ushuru wa VAT
 

kabla ya kukusaidia sema wewe uko wapi???
 
Amazon na Ebay, huwa hawasafirishi kuja Tanzania. Ni bora uumtumie mtu mwenye address ya USA.

Kama umekaa muda zaidi ya miezi 10 nje ya nchi basi kisheria unaruhusiwa kuingiza household items moja moja kama TV, radio nk bila kulipia ushuru wa VAT

Ila ukitumia mtu wa US ujiandae kulipa kodi mara mbili, utalipishwa ya US na ya TZ utakapokipokea (mwisho wa siku bei inaweza kuwa sawa na TZ tu). Unless kuna special arrangement unaweza kufanya kuepuka double taxes
 
Amazon na Ebay, huwa hawasafirishi kuja Tanzania. Ni bora uumtumie mtu mwenye address ya USA.

Kama umekaa muda zaidi ya miezi 10 nje ya nchi basi kisheria unaruhusiwa kuingiza household items moja moja kama TV, radio nk bila kulipia ushuru wa VAT

Sio kweli mkuu,wauuzaji wa ebay wanasafirisha bidhaa mpaka Tanzania..mnunuzi anachagua shipping method tu..on ebay search LED TV ship international,utazipata..ukitumiwa via FEDEX utalipa kwa gharama kubwa kidogo but itakua fast na uhakika wa mzigo kutopotea
 
Ila ununuzi wa Ebay kwa vile inategemeana na muuzaji experience yangu, wengi wa wauzaji hukwepa gharama za kusafirisha kuja Bongo kwa courier.
Njia nafuu ni kwa surface mail kupitia posta, hii sidhani kama inatumika Ebay.


 
Mm nmetumiwa monitor za studio na playstation 3 mzigo wng umefika bila tatizo nmelipa elfu 50 ushuru...
 
Mm nmetumiwa monitor za studio na playstation 3 mzigo wng umefika bila tatizo nmelipa elfu 50 ushuru...

Ulinunua via ebay?umenigusa sana kuhusu studio monitors,nazitaka hizo kitu na mimi
 
Manunuzi ya online sometimes ni pasua kichwa. Mie hapa nilipo nasubiria mzigo wangu toka US karibia mwezi sasa na tracking inaonesha mzigo umeshafika umetoka customs tangu tarehe 9 May. Yani nikilinganisha pressure ninayoipata + shipping ni bora ningenunua hapahapa bongo tu.
 
Ila ununuzi wa Ebay kwa vile inategemeana na muuzaji experience yangu, wengi wa wauzaji hukwepa gharama za kusafirisha kuja Bongo kwa courier.
Njia nafuu ni kwa surface mail kupitia posta, hii sidhani kama inatumika Ebay.

wauzaji wanatofautiana.me nimewahi kununua laptops/memory card/flash drives kupitia ebay na zilitumwa kupitia shirika la posta la marekani nikazipokea hapo posta makao makuu.na sio mara moja.unachotakiwa ni kucheki zile conditions za wauzaji kupata wanosafirisha worldwide.
 
Pia jaribu kutafuta discount coupons, hii itakupunguzia gharama za ununuzi kwa asilimia kubwa, pia huwa kuna daily deals hapo unaweza kununua kitu hata kwa half price ila kama wengine walivyosema Inategemea na muuzaji so before buying angalia kama wanaship kuja huku.

Kuhusu website nyingine jaribu yahoo shopping
 
Mimi nahitaji night vision binoculars na goggles.
Je zinapatikana TZ au ni mpaka njee?
Ndio nilikua nimeanza ku consider kuagiza amazon lakini ndio itakua mara yangu ya kwanza.
Price haijalishi.
Help.
 

Third Eye naomba muongozo namna ya kununua bidhaa yahoo shopping, nimeona wana products nzuri ninazozipenda
 
Kwanza ni muhimu kuelewa kuwa hizi web za shopping mfano yahoo, eBay, Amazon na Alibaba na mingine mingi hawauzi vitu isipokuwa wanawakuta nisha buyers na sellers wa hizo product

Specifically sasa kuna maduka ambayo wana partnership na Yahoo na wanatumia technology za yahoo kuuza bidhaa zao

Hivyo basi jinsi ya ununuzi na bei toka duka moja hadi jingine hutofautiana mfano kitu cha dola 500 duka la Abt huweza kuuzwa 520 duka la Antonline,

Nachoweza kukushauri ni hiki, search what you want then Utakuwa directed kwenye duka husika, angalia terms of service pia angalia page yao ya Frequently Asked Questions FAQ you will learn alot kuhusu duka na service zao, usilipie chochote

Tembelea maduka mengine kufanya comparison, ukisharidhika anza kusearch discount coupons online with relations to your choice of store and product (trust me they are always out there, just dig and dig)
 

Nashukuru ingawa umekuwa too general (I new these general guidelines), mi nilitaka tu kujua pale ambapo sasa nataka kununua! let me do my homework anyway!
 
Mimi hununua vitu vyangu Game supermarket,lakini hutegemeana na vitu unavyohitaji namimi huwa nasubiria sana zile siku za promo kuanzia Alhamisi hadi jumapili ambapo hao Game hutoa kijarida chao kinachoonyesha bidhaa zilizopunguzwa bei,kwa huo mpango nimewahi kununua Sony Hometheatre inayouzwa 750,00te0 kwa 400,000.Laptop ya 800,000 kwa 450,000.Display unit ya 270,000 kwa 140,000,Jiko la umeme na gesi la 650,000 kwa 400,000.
Ila kama nilivyosema inategemeana na kitu unachokihitaji na kama una pesa kwa mfuko wakati wowo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…