Inawezekana mwalimu ni tatizo lakini ugumu unakuja kwako kwa kuwa unajidai unajua mengi, supervisor makini (na ndivyo namuona huyo wako) litopic lako ni zuri sana kulitamka lakini unapaswa kujua ni vizuir ukawa specific kwa yale aliyokuelekeza, binafsi ningekueleza ufafanue hayo alokwambia. jikumbushe namna tunavyochambua sentensi kwa vigawe, Ningekushauri kaa na mwalimu mkubaliane topic, kama kuna ugumu topic yako iache hivyo hivyo ila kwanye 'vital data' weka aina ya data unazofahamu hii itaondoa usumbufu anaoukataa mwalimu.