Msaada jamani Tumbo linanisumbua

Sina pa kwenda

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
113
Reaction score
15
Habari zenu wanajamvini, naombeni ushauri mwenzenu kila nikila kitu naenda kuharisha kuanzia jumatatu msaada jamani ni ugonjwa gani kabla sijaenda hospital
 
Nenda hospitali kampime utaujua ugonjwa
 
utakuwa na infection tumboni, yaweza kuwa amoeba, typhoid ama ambayo inafanana nayo. ukienda kituo cha afya ni rahisi kwao kukupa dozi itakayoendana na tatizo husika baada ya kuchukuliwa vipimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…