Habari?,mfano kampuni au taasisi imetoa nafasi mbili au tatu ambazo UNAQUALIFY zote,je unaweza omba zote?,na ktk uombaje unatuma bahasha mbili au unatuma katika package moja lkn barua mbili?. Asanteni sana
Kiufupi inatakiwa uombe separate yani unatuma bahasha tatu kila moja itawakilisha nafasi ulioomba; then wao sasa ndio jukumu lao kuchuja na kuona which position among ulizoomba wakushort list kwenye interview...nadhani umenipa mwana JF