Guys mimi ni kijana ninaetaraji kumaliza chuo mwezi wa 11 katika fani ya electrical installation level 2,Sasa kuna barua tumepewa chuoni za volunteer,Msaada ninauomba hapa either mnitajie kampuni yoyote ile niweze peleka barua,kwani kitaa kigumu jamani..namba yangu 0718302132